JIHADHARI NA MITEGO YA SHETANI

SHALOM SHALOM
Shetani ameweka mitego kila kona ili atunase tusirithi uzima wa milele, tumtafute Mungu kwa bidii na kudumu katika utakatifu, ili tuweze kumshinda shetani.

Ishi maisha ya toba kila wakati
Omba bila kukoma
Acha kutenda dhambi
Uwe na upendo kwa wengine
Acha kutumia bidhaa za shetani

Tafuta kuishi maisha matakatifu kila wakati ili uwe na ulinzi wa ukuta wa moto kutoka kwa Mungu.
Amen

PR JACOB ZACHARIA

3 Replies to “JIHADHARI NA MITEGO YA SHETANI”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *